4t dayz - street matatu lifestyle كلمات الأغنية
[intro]
p.t.g on the loose….
p.t.g on the news…..
[chorus]
ii ndo lifestyle
ii ndo lifestyle… street matatu lifestyle-6
[verse 1]
nmetoka far east am chasing my prime, ndo maana wameni pinpoint juu na travel forward kaa green & yellow
na rep eastlando kaa mwamba na umoinner
mistari zina flow kaa river of god forgive me am a sinner
chunga usipigwe tisa ukienda eastleigh
pitia juja road, panda kmos ama 46
nina hazina, so situmii route 11
napanda maruti kuenda allsopps
ndo ni run super highway kaa manchester
si n-z-gi but na feel ni kaa nko paradiso
nmepanda ndege emb-ssava
swift & royal, proud as a peac-ck
juu nko top 10 kaa maringo
[chorus]
ii ndo lifestyle
ii ndo lifestyle… street matatu lifestyle-6
nina white collar juu nafanya 8-5
nki late napanda 58 u c-bet i’ll be right on time
traffic jam sio issue jogoo road, gate ya eastlando
zone yenye ad traffic police anaendesha prado
kwa ma three itabidi mshike chuma, kwa nisso mtoshee mtu nne
29/30 na round about kaa maoka 26
kwa double m na connect people like nokia
watu wa eastern by-p-ss wana ishi na no fear
kangundo road, akuna vako we only deal with notes here
sina utawala but nina 5 friends investment
nairobi ni ngumu kupata loyalty
kaka travellers uku wako idhaa ya royalties
[chorus]
ii ndo lifestyle
ii ndo lifestyle… street matatu lifestyle-6
kaa we ni commuter unafaa k train
k arakisha kuingia ama uachwe
kaa radar ama stage upitishwe
chunga mizigo ama ivukishwe
beba mtoto ama kiti ulipishwe
lipa na pesa ndogo ama change ukaushwe
nina 9 lyvz, catsk!ll, no limit kaa dodi, kwa ma three watu huingia bila hodi
niko kwa outreach kaa traveller na kuna mtu ana preach vi marvelous
hannover, hannover, high-rise kaa west madaraka
ikifika south b me ni owner
westside kaa st mary na ak!lla
na link county kaa orokise 2kue unified v poa…
[chorus]
ii ndo lifestyle
ii ndo lifestyle… street matatu lifestyle-6
[outro]
ha ha
ati ma strike ndio wa raise issues
mvua ikinyesha fare ina triple
rush hour na mchana bei ni different
route ni moja lakini sacco ni different
hahahaa
street lifestyle, street matatu lifestyle
street lifestyle, street matatu lifestyle
كلمات أغنية عشوائية
- abhinav bhatt - bhole bam كلمات الأغنية
- jane air - hello كلمات الأغنية
- migeru chan - like this كلمات الأغنية
- esh & the isolations - don't freak out!!! كلمات الأغنية
- os barões da pisadinha - quem me dera كلمات الأغنية
- zusha - merci كلمات الأغنية
- yaboytommy - fuck you gays كلمات الأغنية
- coa white - hai domo كلمات الأغنية
- dna tru lyricist & micsteam - christine كلمات الأغنية
- os barões da pisadinha - filho do mato كلمات الأغنية