
4mr frank white - rusha كلمات أغنية
[verse 1]
chunga sana apa unaeza ganda
steam zinarushwa ata kaa
zimepanda
black and white tunamove
kama panda
watch your mouth
bro apa unaeza blanda
[hook]
rusha ka unaeza rusha
na kama uezi rusha
apa unaeza rushwa
apa unaeza rushwa
[verse 2]
ka ni flow me na switch
one hunna
one of one tushazoza sana
on the low tunakeep undercover
nlikua nmeficha
but nablow iyo cover
flow ni ya breeder na
naosha hawa banii
jokes on them
wahamishwe uko cani
[verse 3]
wana beef na who?
beef na nani?
beef na you
na najua auna habarii
[hook]
na si warusheee
ka wanaeza rushaaa
nakama hawawezi apa wanaeza rushwa
nakama hawawezi apa wanaeza rushwa
[verse 4]
nimecarry ma bars ka dt dobie
super fly naeza throw kaa kobe
hawana cooopy
block natoka ntaawachia iyo notice
washanitea ka jaba na koffee
raise a toast na mpige makofi
كلمات أغنية عشوائية
- bts - make it right (remix) كلمات أغنية
- deep sea arcade - seen no right كلمات أغنية
- reckless conflict - live life كلمات أغنية
- los chichos - te vas me dejas - single version كلمات أغنية
- the roots - lazy afternoon كلمات أغنية
- battleboi basti - hip hopper كلمات أغنية
- abreu - 2nd chance كلمات أغنية
- obrazkobra - сквозь (through) كلمات أغنية
- royal fam - the legacy كلمات أغنية
- saigon - g optified (tommytees theme sampler) كلمات أغنية