kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

130 - success haina kushare كلمات الأغنية

Loading...

130, onezmo

hii ndo time ya kusaka dough paper
urafiki bila dili no sepa
nitazame ninapo_weka
hustle kwa njia lia ninapo_cheka
hakuna mwisho bila ya mwanzo
staki beef za kujenga bila ya chanzo
legeza nikutilie mkazo
inashangaza kukataa sifa unazo
huo ndo unafiki,
mi ni fumbo yaani tajiri mwenye dhiki
naskia wewe chipukizi una lipi?
maana sku hizi kutoka mpaka kwa mwenye kiki
so nakikisha ngoma
ukiona inaliwa jua ishakomaa
kila goli(kona) mchezo nishausoma
maana hata mbuzi huliwa pindi akish_goma

unapokimbizana na wakati,
nyuma unakimbizwa na wanafki,
na kama watauliza tuko wapi?
wajibu namba moja kwenye chati
na wakiongea we don’t care
maneno kunja tembea
na success haina ku’share
success haina ku’shareeeee

dawa ya mbea mfate kwa kupita kwao,akiongea funika bao vunga
maneno ndo mizigo kwao, maana sku hizi binadam nao ni punda
j_po nna macho sitoangalia
kile ambacho maskio yanasikia
punguza kuishi kwa idea
langu tumbo ndo kitu nnachokihangaikia
so if you diss this, diss me well
w_ngapi wanawish, eti me ni _fail
maisha kifungo ni street ni _jail
usinifiche nkizingua ni_tell
(eey)
maana maisha ni kujengana
msela kama unaenda vitani nikupe zana
usije ukapigwa tu hakuna namna
tabia za kidada ni wanaume kusemana
thamani ya maskini uhai
dawa ya deni kulipa na dozi ndo kukudai

unapokimbizana na wakati,
nyuma unakimbizwa na wanafki,
na kama watauliza tuko wapi?
wajibu namba moja kwenye chati
na wakiongea we don’t care
maneno kunja tembea
na success haina ku’share
success haina ku’shareeeee

kw_ngu suti ni vazi
juu ya kuti makazi
mbona haustuki hauwazi
na mamluki ni shazi
na ziko wazi, habari mzisome
siko radhi,tahadhari mnikome
maisha yana system so!
nikiwa busy im just trying to get the dough

unapokimbizana na wakati,
nyuma unakimbizwa na wanafki,
na kama watauliza tuko wapi?
wajibu namba moja kwenye chati
na wakiongea we don’t care
maneno kunja tembea
na success haina ku’share
success haina ku’shareeeee

na success haina kusharee aah
success haina ku’share ah
success haina kushare
success haina ku’sheee
success haina kusharee ah
success haina kushare ah
success haina kusheee
success haina kushea ah ah.

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...