kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wenyeji – mizani كلمات اغاني

Loading...

[hook: gaza]
ukoo flani ndani ya lab na mizani
ukituona ndani ya club, samahani
hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
tukipatana ndani ya slum, bro niaje?
tukipatana ndani ya club, ho niaje?
ukoo flani ndani ya lab na mizani
wakituona ndani ya slums…
(ukoo flani!)

[verse 1: zakah]
elfu mbili na sita
nashika, n-z-ka, naandika mistari, mizani, methali mezani
ulidhani ni nani amekuja kubadili family zote za ghetto
na mental, vitendo, mienendo (hah!)
hebu punguza mapupa za media
kipindi ni ya mau double
penye si hu-struggle kupita through milango za dancehall
ni jasho za dando
iwe hardcore ama commercial tuko macho, macho
uncle nipe heshima
lazima, hustler atashiba kabla alipe keja, teja
afadhali awe kilema, hema kabla ulale jela
msela, tingika na mabega
kubali we ni member, member
wahenga walisema: mgema akisifiwa, lazima utazidiwa

[hook: gaza]
ukoo flani ndani ya lab na mizani
ukituona ndani ya club, samahani
hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
tukipatana ndani ya slum, bro niaje?
tukipatana ndani ya club, ho niaje?
ukoo flani ndani ya lab na mizani
wakituona ndani ya slums…
(ukoo flani!)

[verse 2: swaleh]
soma dibaji ya wenyeji inasemaje
soma gazeti za dandora zinasemaje
uko kwa mikono za polisi utahepaje?
umekutana na jambazi , si ujikate
ukoo flani wakiwa ndani usijishashe
kama una gode na ki-lighter si ukiwashe
zikusanye, usijibanze
heri ujikaze, wasikufuate
ni mapema itabidi ujipange
hawa mafala hawataki si tumange
nipate kwa club, lazima wajirushe
tupate kwa slum, lazima tuwakilishe
jipate kwa show, lazima ujulishwe
ni hip hop, ni hii song
hai-distort hii single
(ni nini?) ni legal, ni lethal ilivyo
uk-double-o, mau double

[hook: gaza] x2
ukoo flani ndani ya lab na mizani
ukituona ndani ya club, samahani
hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
tukipatana ndani ya slum, bro niaje?
tukipatana ndani ya club, ho niaje?
ukoo flani ndani ya lab na mizani
wakituona ndani ya slums…
(ukoo flani!)

[outro: swaleh]
kama umeshikwa na magava mitaani
soma dibaji ya wenyeji inasemaje
kama umekutwa ukikunywa hadharani
soma dibaji ya wenyeji inasemaje
kama umekutwa ukilala darasani
soma dibaji ya wenyeji inasemaje
soma gazeti za dandora inasemaje
ukoo flani ikiwa ndani usijishashe
ukoo flani ikiwa ndani usijishashe

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...