kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lameck ditto – tumshukuru kwa yote كلمات اغاني

Loading...

sote
tumshukuru kwa yote
aaaaaaah

aaaaaaaah aaaah
kwa pamoja tutazame hapa tulipo
pana tuonyesha picha ya mbali huko tuendako mpenzi
mengi utasikia yakisemwa usiyaweke moyoni kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani
kama ndege juu turuke angani wote
unishike nikushike ili tuwe wote mpenzi
mvua ikinyesha iwe baraka ya penzi letu lolote likitokea basi tuanguke na tufe wote
wengine amani tuliyoonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna
heri yetu sisi
tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
tushukuru kwa yote kipenzi changu
tushukuru kwa yote
asiyenipenda hakupendi hata siku moja
siku tunaacha ndo wanach-m-za
asiyenipenda hakupendi hata siku moja
siku tunaachana ndo wanach-m-za
juzi nilikosea nikakukuta unalia machozi nikipokuomba radhi ukaelewa samahani ikaokoa penzi
wengine amani tuliyoonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna
heri yetu sisi
tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote)
tushukuru kwa yote kipenzi changu
tushukuru kwa yote

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...